
Mbunge wa Chadema Tunduma akimwaga sera!


Dr slaa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Tunduma katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingu TUNDUMA!
Akina mama wa TUNDUMA sasa hawadanganyiki wako katika mstari wa mbele kuleta MABADILIKO!